Cherreads

long Power love

Bada yamwaka elifu moja

Sebu alifufuka pembeni yake

Akamuona mwana agali analala

Akasema mwana mwana lamkaa

Mwana akalamka wanakutana dunia ilibadilka waka shagazwa kuona vitu vya mpya wakalamka naguvu zampya kule babu akasikiya moyowake unaduda kwa kasi anasema watu wakuniuwa wanafufuka kulesebu akahisikitu hapa kuna kitu kilibadilika sebu namwana wakacukuwa mamuzi yabiyobiyi kumbe ulemze alicukuwa malizawo na ulemze alikuwa bosi kwa iyo mji wawo sebu end mwana waliku wamasikini wakutupa sebu akaaza kutafuta maisha naapo walikuwa wangaliwadogi sana naukumbuka wakati walifufuka mwanaume sebu alikuwa namwaka 16 mwanamke alikuwa namwaka age14 wakapambana sana ikafika kipindi sebu anakuwa mkubwa alikuwa anatoko kukazi akakutana bibi umoja ulebibi akashimamisha sebu akamuliza swali unanifahamu sebu akawaza mimi sikujui (ulebibi akamwabiya takukubuaha mimi ni nani kwako:sebu akaitika. Wakaenda kwailenyumba yakwao yazamani ilikuwa navumb nyigi sebu kidogo dogo akaazakupata fahamu ulebibi ama anza kumuadisiya sebu apoapo fahamu zake zikarudiya sebu aka anza kuliya akaita bibi kumbeugali bibi:(bibi akamwabiya ivi mimi nimeletwa kukurudisha fahamu zako tu mimi narudi mbinguni mjukuwangu nasema kwa ombi langu naomba ule babuu mchawi umuuwe nauyumpaga wamoto bayi

itaendelea tarehe. 17/06/2025

More Chapters